21/09/2018 ÿú Idadi ya watu ambao wamefariki dunia nchini Tanzania kutokana na ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichopinduka jana Alhamis katika Ziwa Victoria, imeongezeka na kufikia watu 86.
Chime Group ft. Mauku Malemo AJALI YA MELI MV NYERERE (Audio) Kalunde Media. x. Chime Group ft. Mauku Malemo AJALI YA MELI MV NYERERE Kalunde Media 16:03. Kalunde Media. x. Chime group wimbo - matage maisha 13:05. Jita , prod by papaa kabila. x..
27/09/2018 ÿú *Hakuna sababu ya kurudia makosa NA HILAL K SUED. Kwanza kabisa napenda kuungana na wananchi wenzangu na watu wengine kwa kutoa pole kwa wote wale waliopoteza ndugu, jamaa na maswahiba wao katika ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere wiki iliyopita. Baada ya hayo ni vyema niingie moja kwa moja kwenye mada kuu ya makala hii.
23/09/2018 ÿú kama unajiuliza UNDANI WA SIRI nyuma ya ajali ya MV NYERERE ziwa victoria hujaangalia clip hiiBonyeza Hapa KUSUBSCRIBE http:// www.youtube.com /c/Tricodskills.
?Huenda meta centre ya Mv Nyerere iko chini ya ?centre of gravity au nguvu ya uvutano ya asili ya meli ? kwa hali hiyo hakuna uwiano wa kuwa na uthabiti na utimamu ndiyo maana meli na vivuko vya aina hiyo huyumba na kuanguka. kila zikipata dhoruba,? anasema .
21/09/2018 ÿú ?Ukiacha ajali hii ya kivuko, meli za MV Spice Islanders na MV Bukoba ambazo zote zilizama, zilikuwa elimu tosha na hizi ajali za meli kuzama hazikupaswa kutokea tena,? amesema Mbatia. ?Ukikusanya ajali hizi ukiwa na takwimu sahihi za kutosha na rejea ya majanga unaweza kujua jinsi ya kuokoa raia, kulinda raia ili yasitokee tena majanga badala ya kulalamika na kunyoosheana vidole ...;"