Selasa, 21 September 2021

Ajali Ya Kivuko Cha Mv Nyerere

25/09/2018 ÿú Ilikuwa ni siku ya Alhamisi nikiwa nimekaa nafuatilia taarifa ,ghafla nakutana na taarifa za kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere mahala ambapo mwaka jana.

21/09/2018 ÿú #MVNYERERE Kinachoendelea Maombolezo Ajali ya Kivuko cha MV Nyerere Kufuatia ajali mbaya ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama karibu na Kisiwa cha Ukara, zoe.

21/09/2018 ÿú Hadi sasa ni watu 224 wamethibitishwa kufa kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere nchini Tanzania katika Ziwa Victoria, 23/09/2018 ÿú Kuzama kwa Kivuko cha Mv Nyerere kumeacha simulizi za kusikitisha kutoka kwa manusura wa ajali hiyo iliyotokea siku tatu zilizopita na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 200. Wakati Ochori Burana na Ruben Pande wakisimulia jinsi walivyonusurika na kifo baada ya kuruka majini na kushikilia tairi la gari hadi walipookolewa, Mitamba Sendeni.

BREAKING: Kilivyozama Kivuko cha MV NYERERE LeoKivuko cha Mv Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake Bungo rara na Ukara Kimezama huku kikidaiwa kuwa na za.

21/09/2018 ÿú TBC 1: VILIO Vyatawala Kutambua Miili ya Waliofariki Kivuko cha MV NyerereKazi yakutambua miili ya watu waliofariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere ime.

21/09/2018 ÿú Idadi ya vifo katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere , Mwanza imefika watu 86 huku uokoaji ukiendelea, RC John Mongella amethibitisha. ZOEZI la uokoaji wa miili ya watu waliozama katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere linaendelea muda huu ambapo vikosi maalum vya uokoaji vya Jeshi la Polisi, JWTZ , Jeshi la zimamoto na uokoaji na wazamiaji kutoka.

Sababu nne meli, kivuko kuzama. NI siku 18 zimepita tangu kutokea kwa ajali ya Kivuko cha MV. Nyerere kwenye Ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watu 228, Septemba 20. mv . nyerere . Kivuko hicho kilikuwa kikifanya safari zake kati ya visiwa vya Bugorora na.

22/09/2018 ÿú #MVNYEREREMV NYERERE: Aliyeiona Ajali Kabla Haijatokea Asimulia A-Z!Ni ngumu sana kuamini kama mtu anaweza kunusurika katika ajali ya MV Nyerere iliyotokea h.

24/09/2018 ÿú Miezi mitatu iliyopita kivuko cha Mv Nyerere kilifanyiwa ukarabati uliogharimu zaidi ya Sh100 milioni ikiwa ni pamoja na kufungwa injini mpya mbili. Jitihada mbalimbali zimeendelea kufanyika katika kuitafuta ama miili zaidi ya watu waliokufa katika ajali hiyo au kuwanasua abiria waliomo kwenye kivuko hicho ambao huenda bado wako hai.;"