Kamis, 09 September 2021

Ajali Ya Treni Dodoma Mwaka 2002

04/01/2016 ÿú 1. Mheshimiwa Spika, kutokana na ajali ya treni ya abiria iliyotokea kilomita 388/9 kati ya stesheni za Igandu na Msagali Jumatatu tarehe 24 Juni 2002 saa 2.30 asubuhi, Taifa limekumbwa na msiba mkubwa. Siku hiyo hiyo jitihada za uokoaji wa abiria na utoaji wa maiti zilianza mara moja. Kazi hiyo ilikamilika Jumatano tarehe 26 Juni 2002 saa 12.30 jioni.

31/03/2009 ÿú Ajali hiyo ilitokea juzi majira ya saa 10:45 alfajiri katika kitongoji cha Pandambili katika Kijiji cha Msagali wilayani Mpwapwa umbali wa kilomita chache kutoka ilipotokea ajali kubwa ya treni mwaka 2002 na kupoteza maisha ya zaidi ya watu 200.

JUMATANO,Juni 24 mwaka huu 2015, itatimia miaka 13 tangu ilipotokea ajali ya Treni ,huko Igandu na Msagali Mkoani Dodoma na kuua takriban watu 400, huku zaidi ya 700 wakinusurika. Kumbukumbu hii inatonesha donda katika myoyo ya Washiriki wa Makanisa ya Waadventista wa Sabato hususan wa Mikoa yote ya Ukanda wa Ziwa,likiwemo kanisa la Kirumba.

18/06/2019 ÿú Akitoa taarifa ya ajali hiyo Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ,Protas Katambi amesema kuwa ajali hiyo ilitokea jana saa 5.30 usiku kwamba treni hiyo ilikuwa ikitokea.

06/06/2015 ÿú JUMATANO,Juni 24 mwaka huu 2015, itatimia miaka 13 tangu ilipotokea ajali ya Treni ,huko Igandu na Msagali Mkoani Dodoma na kuua takriban watu 400, huku zaidi ya 700 wakinusurika. Kumbukumbu hii inatonesha donda katika myoyo ya Washiriki wa Makanisa ya Waadventista wa Sabato hususan wa Mikoa yote ya Ukanda wa Ziwa,likiwemo kanisa la Kirumba.

03/01/2021 ÿú Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) leo Januari 3, 2021, kuhusu ajali ya treni iliyotokea Dodoma , majeruhi ni 66 na waliofariki ni watatu. Kati ya hao watatu mmoja ni mtoto na watu wazima wawili. Jana Januari 2, 2021 majira ya jioni ilitokea ajali ya treni ya abiria kati ya maeneo ya Itigi, Singida na Bahi, Dodoma .

30/03/2009 ÿú KUNA utata kuhusu idadi ya watu waliokufa katika ajali ya treni na gari moshi la mizigo iliyotokea usiku wa kuamkia jana wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma . Utata huo umesababishwa na taarifa za magazeti ya leo, kuna linalosema waliokufa ni.

Kidevu Zed Jr, January 29 2017 kulitokea ajali ya treni ya abiria ya Delux maeneo ya Ruvu Pwani iliyokuwa inatokea kigoma kwenda Dar es salaam majira ya saa tisa na dakika.

18/06/2019 ÿú Mkuu wa Stesheni Dodoma , Rose Ndauka amesema Shirika la reli litawahudumia majeruhi wote kwa chakula na usafiri wa kurudi majumbani kwao. Ajali kama hiyo ilitokea mwaka 2009 ambapo treni ya abiria iligongana na treni ya mizigo katika eneo la Msagali na Gulwe wilaya ya Mpwapwa katika mkoa Dodoma na kusababisha vifo na majeruhi. .;"